Tunakubaliana na hali yoyote.. Ngwe yetu ni kutaka kuondoka na Vyeti vyetu vikiwa safi na vinakubalika..
Tunapata changamoto nyingi hata hivyo hatukati tamaa na masomo. Tupo hapa CBE DODOMA maisha ni tafu kidogo hata hivyo lengo ni moja tu. KUSOMA KWA FUJO (Kusoma sana).. .......
tunajifunza vitu vingi sana na kwa upana,,,tukitoka hapa hatuwezi pata taabu ya kuishi na raia huko kitaani...
sisi tupo out of compass hivyo tumeisha jua maisha ya kujitegemea kwani tunapika wenyewe na kupanga bajet ya chakula, bill za umeme na maji pia kodi ya nyumba.
wazazi wapo mbele kutuwezesha lakini mzazi hawezi kukupangia packet money yako utumie nini.. hivyo tunajipanga wenyewe... SIKU ZINAKWENDA
Waweza jua anacho maanisha kupitia tabasamu lake...?
No comments:
Post a Comment