Monday, 17 November 2014

IMANI KUBWA ILIYOJENGEKA KWA BAADHI YA WANAWAKE KUHUSU MAUMBO MAKUBWA NDIO DILI MJINI..

Inasemekana kwamba, wanawake wengi wanaamini kwamba kuwa na umbo kubwa ndio mpango mzima mjini.. eti wanawake wenye maumbo haya ndio wanao wavutia sana wanaume na kuwa na nafasi katika swala zima la kimahusiano.

wanawake wengi wamepata madhara kwa kutumia madawa kwaajili ya kutengeneza miili yao iweze kuwa mikubwa na kuwa na muonekano huo unao semekana kuwa na mvuto.

je nyie mnasemaje juu ya hili..............

No comments:

Post a Comment