Friday, 21 November 2014
MANUKATO.. BINAFSI UWA NAPENDA SANA MANUKATO YA KIUME NA MATUMIZI YANGU NATUMIA NYINGI ZA KIUME..... SIJUI WEWE MWENZANGU UNAPENDA YA AINA GANI.!!!!
Watu wengi ukamilisha usmart wao kwa kujipulizia vitu kama hivi... unajihisi kuwa huru kwa harufu nzuri unayoisikia mwilini mwako. mimi napenda sana perfume za kiume kuliko za kike.. mara nyingi natumia za kiume.. nyingi harufu inakuwa imepoa sana..
baadhi ya chupa za perfume zinamuonekano mzuri unaopelekea kuifanya kuwa pambo baada ya perfume kumalizika..
Ule muonekano wake tu unavutia tazama chupa hadi chupa.
Poda ya uso... urembo wa wadada.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment