Monday, 17 November 2014

KANSIIME JEMIMAH A.K.A. PANADOL WA WANAUME ATUPWA RUMANDE.

Ni baada ya kukana mashtaka ya kupiga picha za utupu katika moja ya video zake mpya..  mwana dada huyu ambaye anajitambulisha kwa jina la Panadol wa Basajja apelekwa rumande kwa tuhuma za picha za utupu alizopiga katika moja ya video zake.. Video ya ENSOLO YANGE ndio iliyo mletea kasheshe hilo.

No comments:

Post a Comment