Monday, 24 November 2014

ANNOUNCEMENT TO THE PUBLIC

Kiwango security announces big reward
Kiwango security announces to the public that it has lost power safe & and North Star back up batteries and whoever who can help on the recovery of those batteries will be handsomely rewarded kindly call our control room on 0716 777 779 or 0715 900 000. Whoever who can help on the recovery of those batteries will be handsomely rewarded kindly call our control room on 0716 777 779 or 0715 900 000.











KIWANGO SECURITY FIRE RESPONSE









Friday, 21 November 2014

MANUKATO.. BINAFSI UWA NAPENDA SANA MANUKATO YA KIUME NA MATUMIZI YANGU NATUMIA NYINGI ZA KIUME..... SIJUI WEWE MWENZANGU UNAPENDA YA AINA GANI.!!!!





Watu wengi ukamilisha usmart wao kwa kujipulizia vitu kama hivi... unajihisi kuwa huru kwa harufu nzuri unayoisikia mwilini mwako. mimi napenda sana perfume za kiume kuliko za kike.. mara nyingi natumia za kiume.. nyingi harufu inakuwa imepoa sana..









baadhi ya chupa za perfume zinamuonekano mzuri unaopelekea kuifanya kuwa pambo baada ya perfume kumalizika..

 Ule muonekano wake tu unavutia tazama chupa hadi chupa.




Poda ya uso... urembo wa wadada.....



















Wednesday, 19 November 2014

UNAPENDA MAUA?

Sina uzoefu wa kujua  maana ya rangi za maua
kama wewe unizifahamu vizuri basi nijuze na mimi na mwingine asiyefahamu kama mimi.



ua Rose au waridi


maua haya huwa na harufu nzuri sana.


Yanapendezaje.......nimependa sana muonekano wake.

INDONESIA

Kipimo cha Bikira kimeorodheshwa kuwa moja ya matakwa ya kuingia kwenye Jeshi nchini Indonesia. Wanawake waliofanyiwa kipimo hicho walisema walipata maumivu na kujisikia kudhalilishwa.

Imeelezwa kuwa Askari wa kike nchini humo walipeleka malalamiko kwa ngazi za juu za jeshi la Polisi bila mafanikio.

Afisa wa Juu wa HUMANI RIGHTS WATCH Nisha Varia amesema; kipimo hicho ni unyanyasaji na kinawadhalilisha wanawake.
Polisi Mjini Jakarta wametakiwa kufuta kipimo hicho na kukipiga marufuku nchi nzima. Polisi nchini humo wadai kuto fanya kipimo hicho kwa sasa kwa kuwa kimepigwa marufuku,  hata hivyo hakuna ushahidi wa kutosha uliothibitishwa kusitishwa kwa zoezi hilo kwani katika tovuti yake eneo la kazi tangazo la tarehe 05/11/2014 imeelezwa kuwa wanawake wanaotaka kuwa Polisi wanapaswa kujaribiwa kama wana Bikira.

sababu za kufanya kipimo hiki ni kwamba hawahitaji wanawake wasio na bikira kwani wana wafananisha na makahaba.


Swali: Je mwanamke bikira anafanya kazi kwa ufanisi kuliko yule asiye na bikira? Na je asiye na bikira hana adabu kuliko yule mwenye bikira?

Toa maoni yako


Tuesday, 18 November 2014

BIG DADA UZURI NDANI YAKE.

Ni Mrembo pekee anaemake headlines na kuyapamba magazeti ya Udaku Tanzania

HUO NDIO MPANGO MZIMA NA BARNABA

AKIWA KATIKA MUONEKANO MWINGINE KABISA.. NI BARNABA #SIRI..




NI ZAIDI YA UBUNIFU.

KAKA MWANA MAPINDUZI ALIYE JIDHATITI KATIKA KUHAKIKISHA SOKO LAKE KIMUZIKI HALISHUKI.

Monday, 17 November 2014

MY DRESS MY CHOICE

My dress my choice ndivyo walivyoweza kusema wanawake Hawa baada ya kukerwa kwa kuvuliwa nguo kwa msichana mmoja kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo fupi na kuwakera baadhi ya wananchi.

wake kwa waume nchini humo wamekasirishwa kwa kitendo hicho na kuhoji kwamba,, Nguo hiyo fupi inakukera nini wewe ambaye si muhusika wa Mwanamke huyo?

kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika maandamano hayo:

KANSIIME JEMIMAH A.K.A. PANADOL WA WANAUME ATUPWA RUMANDE.

Ni baada ya kukana mashtaka ya kupiga picha za utupu katika moja ya video zake mpya..  mwana dada huyu ambaye anajitambulisha kwa jina la Panadol wa Basajja apelekwa rumande kwa tuhuma za picha za utupu alizopiga katika moja ya video zake.. Video ya ENSOLO YANGE ndio iliyo mletea kasheshe hilo.

IMANI KUBWA ILIYOJENGEKA KWA BAADHI YA WANAWAKE KUHUSU MAUMBO MAKUBWA NDIO DILI MJINI..

Inasemekana kwamba, wanawake wengi wanaamini kwamba kuwa na umbo kubwa ndio mpango mzima mjini.. eti wanawake wenye maumbo haya ndio wanao wavutia sana wanaume na kuwa na nafasi katika swala zima la kimahusiano.

wanawake wengi wamepata madhara kwa kutumia madawa kwaajili ya kutengeneza miili yao iweze kuwa mikubwa na kuwa na muonekano huo unao semekana kuwa na mvuto.

je nyie mnasemaje juu ya hili..............

Wednesday, 5 November 2014

WASICHANA WADOGO WA KABILA LA KIMASAI.

Urembo wao ni ule wa asili kabisa,,

Moja kati ya makabila ndani ya Tanzania ambayo hayawezi kusahau Tradition.. 




kila mmoja na anavyoweza bwana..  mchezaji ni mchezaji tu.. naweza piga boli hata nikiwa katika vazi hili la asili..

hebu nicheki miguuni......

Tuesday, 4 November 2014

VIJANA WENYE MWAMKO

Tunakubaliana na hali yoyote.. Ngwe yetu ni kutaka kuondoka na Vyeti vyetu vikiwa safi na vinakubalika..

Tunapata changamoto nyingi hata hivyo hatukati tamaa na masomo.  Tupo hapa CBE DODOMA  maisha ni tafu kidogo hata hivyo lengo ni moja tu. KUSOMA KWA FUJO (Kusoma sana).. .......

tunajifunza vitu vingi sana na kwa upana,,,tukitoka hapa hatuwezi pata taabu ya kuishi na raia huko kitaani...


sisi tupo out of compass hivyo tumeisha jua maisha ya kujitegemea kwani tunapika wenyewe na kupanga bajet ya chakula, bill za umeme na maji pia kodi ya nyumba.


wazazi wapo mbele kutuwezesha lakini mzazi hawezi kukupangia packet money yako utumie nini.. hivyo tunajipanga wenyewe... SIKU ZINAKWENDA

 Waweza jua anacho maanisha kupitia tabasamu lake...?

Monday, 3 November 2014

IF NOT TODAY IT WILL BE TOMMOROW

NDIVYO JASIRI ANAVYO WEZA KUSEMA AU KUWAZA KATIKA KONA YAKE YA UTAFUATAJI.. KAMA SIO LEO BASI KESHO..

HUKU UKIWA UNAMAANISHA ONYESHA KWA VITENDO BILA KUJARI RAFIKI AU JIRANI YAKO UNASEMA NINI JUU YA MSIMAMO WAKO.

UKIWA KAMILI KABISA KIMAAMUZI HAKUNA ANAYEWEZA POTEZA TARGET ZAKO.  KAMATA NA KUZIFANYIA KAZI FIKRA ZAO. CHALLENGE SIKU ZOTE UMPATA YULE ALIYE TAYARI KATIKA KUPIGANIA.

COME CLOSE GUYZ TUWE WAZALENDO KATIKA KUKUBALIANA HUO NDIO MWANZO MZURI WA MAFANIKIO.

NAWAPENDA NDIVYO NAVYOMALIZIA

Jioni njema kwenu.