KIWANGO SECURITY NDANI YA DODOMA
SASA TUPO MKOANI DODOMA.... KIWANGO SECURITY NDIO KAMPUNI PEKEE INAYOWEZA KUKUWEKA HURU.....
Tunnu Abdul
Monday, 14 September 2015
Tuesday, 3 March 2015
Friday, 12 December 2014
26 DECEMBER NDANI YA MBEYA CITY. HOME FESTIVAL 2014
NI NDANI YA MBEYA CITY.
HOME SWEET HOME
WATAKUWEPO WATU KIBAOOOO..... BILA KUKOSEKANA MA DJS WOTE WA ZAMANI UNAO WAFAHAMU ...
MBEYA CITY HOME FESSTIVAL NI YA KUFUNGA MWAKA..
HOME SWEET HOME
WATAKUWEPO WATU KIBAOOOO..... BILA KUKOSEKANA MA DJS WOTE WA ZAMANI UNAO WAFAHAMU ...
MBEYA CITY HOME FESSTIVAL NI YA KUFUNGA MWAKA..
VIJANA KAZINI.. KIWANGO SECURITY GUARD NA FIRE RESPONSE NOW DAYS.
USIPATE TABU YA WAPI UTAPATA HUDUMA YA ZIMA MOTO.
PIGA 0716 777779 / 0715 900 000
KIWANGO SECURITY CONTRO ROOM
WOTE MNAKARIBISHWA.
KAMPUNI IPO MAENEO YA KAWE BEACH MBELE YA KIBAO CHA TIMES FM.
Friday, 28 November 2014
Monday, 24 November 2014
ANNOUNCEMENT TO THE PUBLIC
Kiwango
security announces big reward
Kiwango security
announces to the public that it has lost power safe & and North Star back
up batteries and whoever who can help on the recovery of those batteries will
be handsomely rewarded kindly call our control room on 0716 777 779 or 0715 900
000. Whoever who can help on the recovery of those batteries will be handsomely
rewarded kindly call our control room on 0716 777 779 or 0715 900 000.
KIWANGO SECURITY FIRE RESPONSE
Friday, 21 November 2014
MANUKATO.. BINAFSI UWA NAPENDA SANA MANUKATO YA KIUME NA MATUMIZI YANGU NATUMIA NYINGI ZA KIUME..... SIJUI WEWE MWENZANGU UNAPENDA YA AINA GANI.!!!!
Watu wengi ukamilisha usmart wao kwa kujipulizia vitu kama hivi... unajihisi kuwa huru kwa harufu nzuri unayoisikia mwilini mwako. mimi napenda sana perfume za kiume kuliko za kike.. mara nyingi natumia za kiume.. nyingi harufu inakuwa imepoa sana..
baadhi ya chupa za perfume zinamuonekano mzuri unaopelekea kuifanya kuwa pambo baada ya perfume kumalizika..
Ule muonekano wake tu unavutia tazama chupa hadi chupa.
Poda ya uso... urembo wa wadada.....
Subscribe to:
Posts (Atom)